Total Pageviews

Search This Blog

Breaking: Joyce Kiria Akamatwa na Polisi

Share it:


 MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na jeshi la Polisi wanamshikilia mwanaharakati Joyce Kiria kwa kosa la kuendesha mtandao wa Youtube bila kuwa na leseni.

 

 

Hatua hiyo ni muendelezo wa Mamlaka hiyo katika kudhibiti Mawasiliano kwa watu wanaondesha maudhui kwa njia ya Mtandao, pamoja na kutoa elimu kwa watu wanaoendesha maudhui mtandaoni kujisajili katika Mamlaka hiyo.

 

 

Mbali na Joyce Kiria TCRA kwa kushirikiana na polisi wamemkamata mtu mmoja kwa kuendesha Chaneli ya Youtube bila usajili.

 

Joyce Kiria anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama jijini Dar es Salaam

Share it:

HABARI

Post A Comment:

0 comments: