Total Pageviews

Popular Posts

Search This Blog

Lil Wayne Jela Miaka 10 Kukutwa Bastola, Madawa ya Kulevya

Share it:


 RAPA Lil Wayne amekutwa na hatia ya kubeba bunduki iliyokuwa imekokiwa mwaka 2019 akipanda Ndege binafsi huko Miami.

 

Alikutwa pia na bunduki, dawa za kulevya aina ya cocaine na oxycodone ambapo kwa makosa hayo hukumu yake inaweza kuwa miaka kumi jela.

 

Ripoti zinasema, hata hivyo, kuna uwezekano akapunguziwa adhabu hiyo ambapo hukumu inatarajiwa kutolewa Januari 2021.

 

Wayne amewahi kuhukumiwa pia kifungo cha mwaka mmoja jela mwaka 2010 lakini alitumikia miezi minane tu na kuachiwa huru ambapo kosa lake lilikuqa ishu hizohizo za kukutwa na silaha.

Share it:

HABARI

Post A Comment:

0 comments: