Total Pageviews

Popular Posts

Search This Blog

Spika Asitisha Bunge Ili Kupokea ‘Bahasha’ ya Rais

Share it:

 


SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amesitisha shughuli za Bunge kwa muda wa nusu saa ili kujiandaa kupokea bahasha yenye jina la uteuzi wa Waziri Mkuu kutoka kwa Rais John  Magufuli.

Jina la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  linatarajiwa kufikishwa leo bungeni ambapo wabunge watalipigia kura za ndiyo au hapana.


Share it:

HABARI

Post A Comment:

0 comments: