Total Pageviews

Popular Posts

Search This Blog

Boko Haram Waua Wakulima 43 Nigeria

Share it:

 

Kundi la Boko Haram la Nchini Nigeria limewaua  Wakulima 43 wa Jimbo la Borno katika mashamba yao ya mpunga yaliopo Zabrmari

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari kupitia Ukurasa wake wa Twitter ameonesha kusikitishwa na kitendo hicho, pia amelaani mauaji hayo. Amesema kuwa, Serikali ya Nigeria imefanya yote yanayowezekana kulinda nchi hiyo na watu wake.

Aidha, Shirika la Kimataifa La kutetea  Haki za Binaadamu, Amnesty International limelaani kitendo hicho.

 

Boko Haram mara kwa mara wamekuwa wakifanya masham

Share it:

HABARI

Post A Comment:

0 comments: