Total Pageviews

Search This Blog

Rais Magufuli na Rais Chakwera wa Malawi wafanya mazungumzo ya kushirikiana kiuchumi ikulu.

Share it:

 

Rais Magufuli na Rais Chakwera wa Malawi wafanya mazungumzo ya kushirikiana kiuchumi, leo ikulu.

Rais Chakwera anatarajiwa kukaa nchini kwa siku tatu ambapo atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Dkt Magufuli na kisha kutembelea bandari ya Dar es salaam na kisha kuzindua stendi mpya ya kisasa iliyopo Mbezi mwisho

Share it:

HABARI

Post A Comment:

0 comments: