Total Pageviews

Popular Posts

Search This Blog

Kauli ya Kwanza ya Zitto Baada ya Ajali

Share it:

 

BAADA  ya kupata ajali siku ya jana mkoani Kigoma katika Jimbo la Kigoma Kusini alipokwenda kwa ajili ya mkutano wa kampeni, Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameandika katika akaunti yake mtandaoni akieleza kwamba anaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu.

 

Rais  John Magufuli amemjulia hali kiongozi huyo na kumwombea apone haraka na pia amewashukuru madaktari na wauguzi wa Kituo cha Afya cha Kalya na Hospitali ya Maweni kwa matibabu waliyompa.


Share it:

HABARI

Post A Comment:

0 comments: